Matheus Fernandes ameongea kuwa alishtuka baada ya Barcelona kumaliza mkataba wake mapema msimu huu wa joto.

Mbrazil huyo aliatemwa kutoka kwenye kandarasi yake mwezi Juni kufuatia msimu mgumu huko Camp Nou, ambapo aliona nafasi zake ndani ya kikosi cha kwanza zimepunguzwa baada ya kuwasili kutoka Palmeiras mwezi Januari 2020.
“Sikuwa na wazo juu hili, na nilipopokea ujumbe sikuamini,” Matheus aliiambia Globoesporte.
“Nilikuwa nyumbani, nilikuwa najiandaa kutoka na mke wangu wakati ujumbe kutoka klabui ulipoingia, ukiuliza ikiwa nina barua pepe.
“Niliwaambia ndio kisha nikaipokea.
“Sikuielewa kabisa, ulipitia kwa wakala wangu na kwa wakili wangu.
“Walisema kuwa ni kufukuzwa kwangu.
“Muda mfupi ulipita kabla haijatoka kwa waandishi wa habari.
“Sio mazungumzo, hakuna chochote; hata hawakunipigia simu kuniaga.”

Matheus aliendelea kuisema Barcelona kwa mwenendo wao mbaya katika kuvunja mkataba wake.
Lakini, aliendelea kusema kuwa huo ulikuwa mwendelezo wa matibabu mabaya wakati wote wa Camp Nou.
“Wakati mtoto nilikuwa na ndoto ya kucheza Barcelona,” Matheus alisema.
“Nilipofika huko, hawakunichukulia kama mchezaji wa mpira.
“Niliwaambia kwamba hawakunichukulia kama mchezaji wa Barcelona.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!



Ernest
Mambo magumu sana