Atletico walilipotiwa kuwa sikoni kuisaka saini ya fowadi, na nyota wa Arsenal Alexandre Lacazette anahusishwa kuibuka kuwa kipaumbele cha klabu hiyo kwenye dirisha la uhamisho la msimu huu wa joto.
Staa huyu amefurahia uwepo wake kwenye dimba la Emirates kwa miaka 4 akifunga magoli 65 kwenye mechi 170 alizocheza kwenye michuano yote.

Akiwa amebakiza miezi 12 tu kwenye mkataba wake, yeye na klabu, pande zote zinadaiwa kuwa zipo tayari kufanya mchakato wake wa uhamisho.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, Atletico wanafuatilia kwa ukaribu hali ya hewa ya mkataba wa staa huyu na uwezekano wa kuipata saini yake.
Arsenal wanaripotiwa kuwa wapo tayari kumuacha staa huyu aondoke klabuni hapo kwa dau la £15m.
SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!



Sarah
Safi
Angelina
Goodnews