Erik Lamela: Nimefurahi Sana Kuwa Sevilla

Erik Lamela ameamua kuweka wazi furaha yake ya kuungana na Sevilla baada ya kuwasili kwake Sevilla kutangazwa rasmi Jumatatu.

Lamela anaungana na Sevilla akiwa ni sehemu ya dili la mabadilishano ya wachezaji lililomuhusisha Bryan Gil ambaye amewasili Tottenham kwa €25m kama sehemu ya dili hilo.

Uhamisho huu umememaliza miaka nane ya Lamela akiwa na Spurs, lakini nyota huyu wa Argentina anabainisha kuwa amekuwa na furaha isiyo na kifani pale anapoungana na Sevilla.

Erik Lamela: Nimefurahi Sana Kuwa Sevilla

“Ninafuraha sana. Ni mara yangu ya kwanza kuwepo hapa. Sijawahi kucheza hapa. Uwanja uko poa sana. Klabu imeshinda vikombe vingi na mimi nimekuja kuwa sehemu ya kuendeleza sesehemu ya ushindi.” – Erik Lamela

Staa huyu mwenye miaka 29 amebainisha kuwa ulikuwa ni mpango wake kuhakikisha anaweza kucheza soka la Hispania kabla ya kufikia kustaafu soka.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

2 Komentara

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

Acha ujumbe