Chelsea Mazungumzoni na Sevilla kwa Kounde

Jules Kounde alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Ufaransa cha Euro 2020 majira ya joto; Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 aliisadia Sevilla kufuzu kucheza Champions League msimu uliyopita.

Chelsea Mazungumzoni na Sevilla kwa Kounde

Kounde alihamia katika klabu hiyo ya Spain akitokea Bordeaux  wakati wa  majira ya joto 2019 na tayari amejipata kama moja ya walinzi bora kabisa ulaya.

Kounde pia alikuwa akivivutia vilabu vya Manchester City ambao walikuwa kwenye mazungumzo na Sevilla juu ya kumsajili msimu uliyopita.

Kutokana na uwezo wake wa kubadilika Kounde anaweza kucheza katika beki ya kulia kama ikihitajika vilevile na nafasi yake ya kawaida kwenye eneo la ulinzi.

Kwa sasa amebakiwa na miaka mitatu kwenye mkataba wake na Sevilla ambao pia wamemuachia mchezaji Bryan Gil alijiunga na timu ya Premier League Tottenham.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

3 Komentara

    Vizuri

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe