Klabu ya Al Ahly benghazi imemuaga rasmi kiungo mshambuliaji wake Sadio Kanoute ambaye inasemekana anaelekea kujiunga na mabingwa wa ligi kuu Tanzania, klabu ya Simba Sc.

Klabu ya Simba SC Tanzania imemnunua kiungo huyo mshambuliaji kutoka Al benghazi kwa dola za kimarekani 150, 000 ambazo ni takribani milioni 345 kwa pesa za kitanzania.
Kanoute ni kiungo wa kimataifa wa Mali anayetumia mguu wa kulia tayari ameanza safari kuelekea Morocco na atatambulishwa muda wowote baada ya kujiunga na kambi ya Simba nchini Morocco.
Unaanzaje siku yako bila kuwa na pesa, Meridianbet kupitia kasino zake za mtandaoni inakupa sababu ya kufanya siku yako kuwa njema. Mchezo maarufu wa Tiki Reward unaweza kukufanya milionea. Cheza sasa kibingwa!



Sarah
Iko poa ratiba