Mkufunzi wa timu ya Arsenal Mikel Arteta amethibitisha kuwa anafanya mazungumzo na kiungo Jack Wilshere ili aweze kurudi tena kukipiga kwa miamba hiyo ya London.
Wilshere aliyesajiliwa mwaka 2007 akitokea katika akademi ya Luton Town alitumia miaka 11 na miamba hiyo ya London huku akicheza mechi 211.

Mikel Arteta ambaye amecheza na Jack Wilshere kuanzia mwaka 2011 hadi mwaka 2016. Alinukuliwa akisema ” alisisitiza kuwa Jack anakaribishwa kufanya mazoezi na sisi huku akiwa anatafuta timu ya kujiunga nayo.”
“Tulifanya mazungumzo na Jack kujua anataka nini, “na anatafuta nini, “nimchezaji mwenye mapenzi ya kuwa hapa nakila mtu anamfurahia hapa tunaangalia uwezekano wa kumsaidia kadri tuwezavyo.”
kwa sasa Jack anafanya mazoezi na timu ya Arsenal tokea aachane na timu Bournemouth.
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


