FA: Exester vs Bradford, KURUDIWA UPYA!

Ukiacha ligi kuu, michezo ya mizunguko ya awali kwenye FA na Carabao Cup, ni sehemu ya kutengeneza faida ukiwa unaburudika. Hii ndio Meridianbet!

Baada ya Exester na Bradford kuchuana Novemba 6,2021 na matokeo kuwa tasa kwa timu zote, mchezo huu ulirudiwa tena Jumanne hii. Dakika 90 zikamalizika, ubao unasoma 0-0.

Matokeo ya sare kwenye mchezo wa pili, yalipelekea kuongezwa dakika 30 za ziada. Hapa ndio Exester walipoharibu kazi. Sheria za FA haziruhusu timu yeyote kufanya mabadiliko ya zaidi ya wachezaji 5 kwenye mchezo mmoja (hata kama mchezo umechezwa kwa dakika 120).

Josh Key

Exester walifanya figisu kwenye sheria hiyo na kumtoa Sam Nombe na kumuingiza Josh Key. Haya yalikua ni mabadiliko ya 6 ambayo ni kinyume na sheria. Katika kuhakikisha sheria inafuatwa, mchezo huu umepangwa kurudiwa.

Matokeo ya ushindi wa magoli 3-0 kwa Exester ni batili na hivyo, timu hizi zitachuana tena Novemba 30 na mshindi halali, atacheza dhidi ya Cambridge United kwenye mzunguko wa 2 wa mashindano hayo.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.