Kurejea kwa Alex Ferguson United

Klabu ya manchester united imethibitisha kuwa aliyekuwa meneja wa klabu hiyo, Alex Ferguson ataiongoza klabu hiyo kwenye mechi ya muhimu ya kumbukumbu  pale Old Trafford mwezi Mei. Unashangazwa na mkongwe huyu kurejea United?

Meneja huyu wa zamani wa klabu hii alistaafu mwaka 2013 baada ya kuwaongoza mashetani wekundu kuutwaa ubingwa wao wa 20 wa Ligi yaUingereza ikiwa ni mara ya mwisho tokea walipoupata ubingwa huo.

Mzee huyu amepata mafanikio makubwa katika miaka yake 27 klabuni hapo kwenye Premier League, Champions League na FA Cup mwaka 1999.

Man U wanatarajia kucheza gemu ya kumbukumbu dhidi ya Bayern Munich Mei 26, gemu hii itatumika kutengeneza kipato cha Manchester United Foundation. Ferguson ataiongoza Man U ambao watakuwa nyumbani kwenye gemu hiyo.

 

4 Komentara

    Old is gold,muda wote sir man united inamhitaji

    Jibu

    Ataleta hamasa united

    Jibu

    Itakuwa hatari.

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.