Xavi Kibarua Chake Kuanza Wikiendi Hii

Mashabiki wa sehemu mbalimbali duniani kwa sasa wansubili kumuona Xavi akiwa kwenye benchi la Barcelona na kubeba mzigo uliowashinda wenzia kwenye viunga vya Camp Nuo.

Baada ya kufanya vizuri nchini Qatar na style ya tiktak ambayo iliasisiwa na Johan Cryuf na kutumiwa vizuri kabisa na kocha wa kihispania Pep Gurdiola sasa mashabiki wanahamu ya kuona Xavi akiirudisha tena kwenye viunga vya  Camp Nou.

Xavi
Xavi

Barcelona wikiendi hii wanawakaribisha klabu ya Espanyol lwenye dimba la Camp Nou huku baadhi ya wachezaji nao wakirejea kutoka kwenye michezo ya kimataifa na wale majeruhi Pedri and Dembélé wakitarajiwa kurudi kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Benfica.

Xavi tokea achukue mikoba ya kuinoa klabu hiyo amefanya mabadiliko makubwa huku akitumbua majipu ambayo alihisi ni kikwazo kwa mafanikio ya Barcelona.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.