Jesse Lingard amesisitiza kuwa anataka kuondoka baada ya mazungumzo na klabu ya Manchester United ya mkataba mpya kushindikana.
Jesse Lingard alikataa mkataba aliondaliwa na klabu ya Man Utd mwezi oktoba, ambao ulikuwa na thamani ndogo kuliko aliokuwa nao sasa hivi na kwa sasa hana mpango wa kufungua milango kwa mazungumzo mengine na miamba ya Old Traford.

Lingard anatarajia kutolea kwa mkopo baada ya kupata nafasi chache, tokea kuwasili kwa Ronaldo kwenye viunga vya Carrington Park licha kuonyesha kiwango kikubwa alipotolewa kwa mkopo kwenda klabu ya West Ham.
Jesse Lingard baada ya mazungumzo ya mkataba mpya kushindikana anatarajia kuondoka kama mchezaji huru majira ya kiangazi mwakani, huku klabu kadhaa kubwa zimeonesha nia ya kuhitaji huduma yake Barcelona na Ac Milan zimekuwa mstari wa mbele.
Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.


