Godin Kurudi Tena Hispania

Mchezaji wakimataifa wa Uruguay Diego Godin amezungumza na mchezaji mwenzie wa timu ya Cagliari kuwa anampango wa kurudi tena Hispania.

Beki huyo wa kati ambaye aliwasili Cagliari akitokea kwenye timu ya Inter Milan mwezi septemba 2020 lakini amekuwa na presha kubwa kwa muda wote kwa sababu ya timu anayochezea kuwa kwenye nafasi za kushuka daraja.

Godin

Godin mwenye miaka 35 ameshindwa kuisaidia timu yake ya sasa kuweza kupanda kwenye msimamo waligi kuu ya Serie A baada ya kuwa kwenye nafasi za chini hata baada ya kucheza michezo 12 mpaka sasa.

Godin ameichezea timu ya taifa ya Uruguay michezo 153, na aliwasiri nchini Italia juli 2019 baada ya kusajiriwa na timu ya Inter Milan kwa usajiri huru. Kwa sasa kuna tetesi kuwa kuna klabu kwenye ligi ya La Liga imeonesha nia ya kutaka kumsajiri.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.