Phil Jones Asafiri na Timu Kwenda Hispania

Mlinzi wa klabu ya Manchester United Phil Jones hatimae ameonekana tena kwenye utawala mpya wa Michael Carrick kwenye viunga vya Old Traford baada ya kusahaulika kwa muda mrefu na amesafili na timu kwenda Hispania kuwakabili Villarreal japokuwa hatarajiwi kucheza.

Phil Jones amekuwa nj’e ya kikosi cha Man Utd timu ya wakubwa kwa muda wamiaka miwili huku akiwa anaitumikia timu ya umri wa miaka 23 ambako amecheza mara tatu kwa msimu.

Phil Jones
Phil Jones

Carrick kumchukua Jones kwa sasa inaonesha kuwa kunauwezekano wa kumtumia kwenye michezo ijayo ya ligi kuu baada klabu ya Man Utd kuwa na matatizo la safu ya ulinzi.

Kuwepo kwenye kikosi kilichopo Hispania ni kumuweka karibu na ili aweze kuwa karibu na makocha ili wamwangalie ni jinsi gani anaweza kutumika.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.