Bado kiti ni cha moto kwenye ofisi ya kocha mkuu wa Manchester United. Super Sunday hii hapo, nani ataiongoza timu hiyo?
United wanakwenda kuchuana na Chelsea pale Stamford Bridge jumapili hii. Hii ni Super Sunday, mashabiki wa EPL macho yao yatakua kwenye mchezo huu. Zinakwenda kukutana timu mbili ambazo zinaviwango na hali tofauti.
Wakati Chelsea wanataabika na Frank Lampard, United walikuwa wanakula maisha ya Ole Gunnar Solskjaer, Roman Abrahamovic akaona isiwe tabu, akamuondoa Lampard na kumuweka Thomas Tuchel haraka ilivyowezekana.
Maisha chini ya Tuchel ni shumbwela kwa mashabiki wa The Blues, mataji 2 (Ligi ya Mabingwa na Klabu Bingwa Ulaya) kibindoni. Kule Old Trafford, hata huyo Ole saivi hayupo tena. Timu inaongozwa na Michael Carrick, wanamuita kibaraka wa Ole kwa maana kuwa, kilichomfukuzisha kazi Ole, ndio hicho hicho alichonacho Carrick – HAWANA UZOEFU.

Yote 9, 10 ni kwamba timu hizi zinakwenda kutupa mchezo wa namna gani wikiendi hii? Haijulikani mpaka sasa, nani ataiongoza Man United kuelekea London? Ni Carrick, kocha mwingine wa muda au ni Pochettino kama anavyohusishwa na United?
Kwa macho ya haraka haraka, uwenda Carrick akaongoza timu kwa mara nyingine, hii ni kutokana na kupata muda wa kufanya mazoezi na wachezaji toka Ole alivyoondolewa. Ujio wa kocha mgeni yeyote, utagubikwa na sintofahamu. Muda wa kufanya kazi na wachezaji? Maandalizi ya mchezo? n.k
Manchester United wanatokaje kwenye Super Sunday hii? Odds za mchezo huu, zimewekwa kwenye zaidi ya machaguo 100. Zichange karata zako na Meridianbet!
Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.


