Klabu ya RB Salzburg imelazimika kuiomba radhi klabu ya Sevilla baada ya video waliokuwa wakishangilia kuonekana kocha wa akitoa maneno ya kejeri kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwa kuwaita “wahispania wakorofi”
Klabu ya RB Salzburg imejihakikishia nafasi ya kwenda kucheza hatua ya 16 bora kwenye michuano ya klabu bingwa barani ulaya kwa kushinda mchezo wao dhidi ya Sevilla usiku wa jumatano, huku wakiweka historia ya kufuzu kwa mara ya kwanza kwenye historia ya klabu hiyo.

Baada ya mchezo kuisha mfungaji wa goli lililowavusha RB Salzburg alikuwa mubashara kwenye mitandao ya kijamii wakishangilia kwenye mtandao wa Instagram, wakati mwanasaikolojia Ulf Hafelinge akiwa anatoa maneno ya hamasa.
Upepo ulibadirika ghafla pale kochawa zamani aliposikisa akiwaita Sevilla “wahispania wakorofi” watazamaji walianza kushambulia na kumkosoa huku wakisisitiza kuwa aliwavunjia heshima washindani wake hao.
Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.
CHEZA HAPA


