Ramos Nje Dhidi ya Monaco

Sergio Ramos atakosekana tena kwenye mchezo ambo Paris Saint-Germain watawakaribisha Monaco kwenye dimba la Parc des Princes leo jumapili ukiwa ndio mchezo wao wa mwisho kwenye uwanja wao wa nyumbani mwaka huu.

PSG wamethibitishwa jana jumamosi kuwa Ramos msimu hu haukuwa mzuri kwake kwani amekuwa akisumbuliwa na mejeruhi ambayo yamemuweka nje ya uwanja kwa muda, huku akifanikiwa kuichezea PSG mchezo mmoja tu tokea asajiriwe dhidi ya Saint-Etienne mwezi November.

Ramos
Ramos

Paris itawakosa Ramos, Nuno Mendes, Neymar na Julian Drexler wakati Presnel Kimpembe nae amekuwa akisumbuliwa na tatatizo ya tumbo, hii linaweza likamfanya nae akakosa mchezo wa leo dhidi ya Monaco.

PSG wapo kileleni mwa Ligue 1 kwa pointi 11 dhidi ya anayemfuatia Rennes kwenye michezo 17 waliyocheza msimu huu mpaka sasa, huku akiwa ameshina michezo 13, Monaco yuko nafasi ya 8 akiwa na pointi 26 ameachwa pointi 16 na PSG, na pia akiwa ameshinda michezo 7 kwenye Ligue 1.


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.