Lindelof Apata Shida ya Kupumua

Mlinzi wa Manchester United, Victor Lindelof anafanyiwa vipimo baada ya kulalamika kupata shida ya kupumua, ambayo klabu inaripoti kuwa haihusiani na covid19.

Lindelof alibadilishwa na Eric Bailly kwenye mechi ambayo United walishinda dhidi ya Norwich Jumapili, baada ya kulalamika kupata matatizo ya kifua.

Man United pia walijikuta akipata majibu ya maofisa wao kuwa na maambukizi  ya Covid19 baada ya kutoka Carrow Road, huku mechi dhidi ya Brentford ikilazimika kuahirishwa.

Victor Lindelof

United, wameweka wazi kuwa suala la Lindelof halihusiani kabisa na maambukizi ya Corona, na anaendelea vizuri. Isipokua taratibu za kitabibu zaidi zinaendelea.

“Victor kwa sasa anaendelea na ratiba ya hatua za uchunguzi. Hata hivyo, ameweza kuendelea vyema ukifananisha na hali aliyokuwa nayo awali kwenye mechi dhidi ya Norwich. Dalili zote zinaonesha hakuna uhusiano na mlipuko wa covid kwenye timu.” -maelezo ya timu juu ya hali ya Lindelof.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.