Leonardo: Tupo Kwenye Nafasi Nzuri ya Kumbakisha Mbappe

Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya PSG Leonardo amesisitiza kuwa wapo kwenye nafasi nzuri ya kuhahakikisha kuwa mshambuliaji wao hatari Kylian Mbappe anabaki klabuni licha ya kuwa mkataba wake unaisha majira ya kiangazi.

Mbappe mwenye umri wa miaka 22 ameifungia klabu hiyo magoli 145 kwenye michezo 194 katika mashindano yote tokea aliposajiriwa mwaka 2018 akitokea klabu ya Monaco na kwenye usajiri uliomfanya kuwa mchezaji ghali wa pili duniani wa muda wote.

Leonardo

“Ni swala muhimu sababu tunazungumzia mchezaji bora wa Dunia ambaye mkataba wake unakwenda kuisha, tunaweza kusema tumezungumza nae mara nyingi kwa njia ya  kinyenyekevu zaidi, lakini ndio sehemu ya kujenga mahusiano.

“Kuna gumu kidogo ila kwa namna nyingine tungependa aendelee kuwepo  maisha yake yote hapa na pia itatupasa kuheshimu nafasi ya familia yake, nadhani tunanafasi nzuri ya kuhakikisha anasalia hapa, naamini hilo.” Alisema Leonardo


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.