Inter na Ac Milan Kujenga Uwanja Mpya "Cathedral"

Vilabu vya Inter na Ac Milan wameungana katika mradi mpya wa kutaka kujenga uwanja mpya ambao wameoanga kuupa jina la “Cathedral”  ambao umechorwa na mchoraji ambaye aliyebuni uwanja mpya wa Tottenham Hotspur Stadium.

Uwanja mpya utajengwa wiliya mmoja ambao upo uwanja wa San Siro jijini Milan, mpaka sasa bado hawajaweka wazi uwezo wa uwanja huo ila inatarajiwa kuwa mashabiki watakuwa karibu sana na kiwanja tofatauti na San Siro.

Inter na Ac milan
Inter na Ac Milan

Ujenzi huo utahusisha zaidi ya square metres 110,000 ikijumuisha eneo la kuchezea maduka na miundombinu mingine ambayo inaweza kuwa ni sehemu za wazi au watashirikiana na jiji la Milan kujua nini kinaweza kufaa kwa ajiri ya matumizi.

Kwa sasa klabu zote, Inter na Ac Milan wameshakubaliana na ubunifu wa uwanja huo na mamlaka za jiji limethibitisha mradi huo jukumu limebaki kwa vilabu hivyo kuweza kumaliza maswala ya ndani, huku ikitarajiwa kuwa mwaka 2022 watamaliza kila kitu na kutangaza rasmi kila kiti kuhusu uwanja huo.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.