Man United wanajiandaa kutumia kipengele cha kuchiwa Julian Alvarez ili kumsajili kutoka River Plate kwa mujibu wa Diario Sport.
Barcelona, Real Madrid, Internazionale na Bayern Munich zote wote wametajwa kuwa na nia kutaka kumnunua nyota huyo wa Argentina, lakini inaonekana miamba hao wa Uingereza wanaongoza katika kinyang’anyiro hicho.
Taarifa zinataja kuwa Fernando Hidalgo, wakala wake, atasafiri hadi Uingereza wiki hii ili kukamilisha makubaliano. Kifungu cha kutolewa kwa Alvarez ni €20m.

Edinson Cavani na Anthony Martial wote wamehusishwa na kuondoka Old Trafford, hivyo mpango wa kuleta mshambuliaji mahiri, wa gharama ya chini na mwenye uwezo mkubwa ni mpango wa kuvutia kwa Man United
Alvarez amecheka na nyavu mara 23 na asisti 18 katika mechi 53 akiwa na River Plate ambao walitwaa ubingwa wa Argentina. Man United wanahitaji aina hii ya mshambuliaji.
Pia alikuwa sehemu ya kikosi cha Argentina kilichoshinda Copa America, na wiki iliyopita gazeti la The Guardian lilimjumuisha akiwa nafasi ya 91 kati ya wanasoka 100 bora duniani.
Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

CHEZA HAPA

