Oscar Kumrithi Philippe Countinho Barcelona?

Barcelona wametajwa kuwa wamemgeukia nyota machachari wa Brazili Oscar, maarufu kama Oscar dos Santos Emboaba Junior.

Coutinho, ambaye ana miaka 29 amerejea Ligi Kuu Uingereza akisaini na Ston Villa kwa mkopo wa awali wa miezi sita, huku klabu hiyo ikiwa na kipengele cha kuchagua kumnunua kwa €40m msimu wa joto.

Taarifa zinasema kuwa kocha wa Barcelona Xavi Hernandez na raisi Joan Laporta wanatazamia kuajiri kiungo mwingine mwenye ufundi wa kuisaidia Barcelona kupiga hatua kabla ya kufungwa kwa pazia la usajili wa mwezi Januari.

Oscar Kumrithi Philippe Countinho Barcelona?
Oscar

Ripoti zinataja kuwa klabu ya Barcelona tayari imeshafanya mawasiliano na klabu yake ya sasa ya Shanghai Port kuulizia upatikanaji wake.

Hata hivyo, kuna wasi wasi juu ya upatikanaji wa staa huyo Barcelona kwa kuzingatia hali ya klabu hiyo kiuchumi.

Oscar ambaye mkataba wake wa sasa unadumu hadi Novemba 2024, amecheza Jumla ya gemu 170 akiwa na Shanghai Port, akifunga magoli 50 na asisti 93.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.