EFL yathibitisha kutofanya uchungzi dhid ya klabu ya Liverpool kutonana kuahirishwa kwa mchezo wiki iliyopita wa Carabao Cup nusu fainali dhidi ya arsenal japokuwa kocha wa Liverpool kutoa taarifa za uongo za wachezaji wenye Uviko-19.
Mchezo wa kwanza ulipangwa kuchezwa alhamisi iliyopita ulighairishwa baada ya klabu ya Liverpool kuomba mchezo huo kuahirishwa kutokana na idadi ya wachezaji walipata maambukizi kuwa wengi, kabla ya Klopp siku tatu baadae, kukubali kuwa walikuwa na taarifa za uongo za wachezaji ambao walikuwa na maambukizi ya Uviko-19.

Mchezo huo wa nusu fainali ya kwanza ya Carabao Cup ambao ulitakiwa kuchezwa kwenye dimba la Emirates, umepangiwa tarehe 13 January siku ya alhamisi kwenye kiwanja cha Anfield, huku mchezo wa pili ukitarajiwa kipigwa siku saba baadae jijini London kwenye dimba la Emirates.
EFL wamethibitisha kwamba wameridhishwa na Liverpool kwa sababu walitoa sababu za kutaka kuahirishwa na pia walitoa ushahidi wote uliohitajika kwa hiyo hakuna umuhimu tena wa kuendelea kufanya uchunguzi.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

CHEZA HAPA

