Liverpool Kutoadhibiwa na EFL

EFL yathibitisha kutofanya uchungzi dhid ya klabu ya Liverpool kutonana kuahirishwa kwa mchezo wiki iliyopita wa Carabao Cup nusu fainali dhidi ya arsenal japokuwa kocha wa Liverpool kutoa taarifa za uongo za wachezaji wenye Uviko-19.

Mchezo wa kwanza ulipangwa kuchezwa alhamisi iliyopita ulighairishwa baada ya klabu ya Liverpool kuomba mchezo huo kuahirishwa kutokana na idadi ya wachezaji walipata maambukizi kuwa wengi, kabla ya Klopp siku tatu baadae, kukubali kuwa walikuwa na taarifa za uongo za wachezaji ambao walikuwa na maambukizi ya Uviko-19.

Liverpool

Mchezo huo wa nusu fainali ya kwanza ya Carabao Cup ambao ulitakiwa kuchezwa kwenye dimba la Emirates, umepangiwa tarehe 13 January siku ya alhamisi kwenye kiwanja cha Anfield, huku mchezo wa pili  ukitarajiwa kipigwa siku saba baadae jijini London kwenye dimba la Emirates.

EFL wamethibitisha kwamba wameridhishwa na Liverpool kwa sababu walitoa sababu za kutaka kuahirishwa na pia walitoa ushahidi wote uliohitajika kwa hiyo hakuna umuhimu tena wa kuendelea kufanya uchunguzi.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.