Liverpool Wasaini Mkataba Mpya na EA SPORTS

Klabu ya Liverpool imesaini mktaba mpya wa kibishara na kampuni inayonesha michezo ya kielotroniki na michezo video EA SPORTS baada ya mafanikio makubwa waliyoyapa kqampuni  hiyo tokea waanze kushirikiana na klabu hiyo.

Mkataba wa kwanza kati ya Liverpool na EA SPORTS ulisainiwa July 2019 na kuanza kutengeneza michezo mbalimbali wakishirikiana kwa pamoja ili kuweza kuwaunganisha mashabiki na wapenzi mbalimbali wa michezo hiyo duniani

Ndani ya misimu miwili EA SPORTS michezo mbali mbali waliyotengeneza kupitia klabu ya Liverpool, ilipokelewa vizuri na kusababisha kampuni hiyo kupitia bidhaa zake ikiwemo FIFA kutengeneza kiasi cha Euro 64 million kupitia video zake zilizotengenezwa ndani ya misimu mitatu.

Liverpool na EA SPORTS FIFA 20 ndio video iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa  YouTube, kwa wakati wote na kwa sasa video hiyo inashika namba moja ukilinganisha na video zingine za klabu ya barani ulaya.

EA SPORTS anakuwa mdhamini wa rasmi wa klabu hiyo kwenye michezo ya kieletroniki duniani, na atakuwa na haki ya kutumia nembo ya klabu, majina ya wachezaji wa sasa na wazamani, matukio yote ya Liverpool na haki za kidijitari


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.