Christian Eriksen Kuwavaa Newcastle United

Kiungo wa klabu ya Brentford Christian Eriksen anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi kitakachocheza mchezo dhidi ya Newcastle United kwenye dimba la Brentford Community Stadium siku ya Jumamosi.

Christian Eriksen leo alifanikiwa kucheza mchezo wa kirafiki kati ya Brentford na klabu kutoka nchini Scotland Rangers, na kufanikiwa kucheza kwa dakika 78, huku akisaidia kupatikana kwa goli mbili na mchezo huo kumalizika kwa sare ya 2-2.

Wiki iliyoisha kabla ya mchezo wa leo jumatatu Frank aliulizwa kuhusu Eriksen alijibu, “anajisikia vizuri, na yupo kwenye sehemu nzuri, amekuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi saba, na kawaida unahitaji maandalizi mazuri ya ili uweze kuwa sawa.

“Eriksen alikuja akiwa na msingi mzuri, kwahiyo haitaji wiki sita, tuna mchezo wa kirafiki siku ya jumatatu, lakini tunakusudia mchezo dhidi ya Newcastle.”

Eriksen amewekewa kifaa maalumu cha kuweza kusimamia mapigo yake ya moyo.


 

KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe