Liverpool Watwaa Ubingwa wa FA Cup.

 

Klabu ya Liverpool imefanikiwa kushinda Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley hapo jana.

 

Hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa 0-0, ilibaki hivyo hata baada ya kuongezwa dakika 30. Mason Mount alikosa penati ya mwisho kwa Chelsea kisha Konstantinos Tsimikas akaifungia Liverpool penati ya ushindi.

Liverpool ambao wametwaa Carabao Cup 2022, watacheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid, pia wanayo nafasi ya kutwaa Premier League licha ya kuwa nyuma kwa pointi tatu dhidi ya Manchester City.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.