Ufaransa - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Camavinga Nje Ufaransa

La Liga

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Eduardo Camavinga ameondolewa kwenye kambi ya timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kuelezwa kupata majeraha ya …

Musiala Kuwakosa Japan na Ufaransa

Daily News

Mchezaji nyota wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Jamal Musiala amejitoa kwenye timu ya taifa ya Ujerumani kutokana na majeraha ya mgongo ambayo yamempata. Jamal …

Mbappe Nahodha Mpya wa Ufaransa

Daily News

Kylian Mbappe atakuwa nahodha mpya wa Ufaransa baada ya kupata bao kutoka kwa Didier Deschamps.   Mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain alikuwa mgombea bora kuchukua nafasi ya Hugo Lloris, ambaye …

Zidane Amponza Rais Ufaransa

Daily News

Kocha wa zamani wa klabu ya Real Madrid na gwiji wa timu ya taifa ya Ufaransa Zinedine Zidane amemponza rais wa shirikisho la soka nchini humo Noel Le Graet. Rais …

Mbappe Atajwa Unahodha Ufaransa

Daily News

Staa wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe anatajwa zaidi kama mrithi wa kitambaa cha unahodha alichokua akikivaa Hugi Lloris aliestaafu siku ya jana. Hugo …

1 2 3 4 99 100 101