Zamalek Yaangukia Pua Nyumbani Kwake

Katika timu ambayo nayo imeanza vibaya kwenye michuano ya kabu bingwa ni pamoja na Zamalek ambaye amechapwa bao 1-0 akiwa nyumbani kwake dhidi  ya CR Belouizdad ya huko Algeria.

 

Zamalek Yaangukia Pua Nyumbani Kwake

Bao hilo lilipachikwa kwenye kipindi cha pili cha mchezo huku bao hilo likifungwa kwa mkwaju wa penati na kuifanya timu hiyo kujivunia pointi tatu katika kundi hilo D huku mwenyeji akiwa haamini yanayotokea.

Zamalek kwenye ligi msimu huu hayupo vizuri baada ya klushikilia nafasi ya sita kwenye msimamo baada ya kucheza mechi zake 17 na kijipatia pointi 29 huku wapinzani wao wakubwa Al Ahly wakiwa ndio vinara wa ligi hiyo.

Zamalek Yaangukia Pua Nyumbani Kwake

Timu hiyo imeachwa pointi 8 na kira wa ligi huku ikiwa tayri imepoteza michezo minne kwenye ligi na matumaini ya kushindania taji la ligi hiyo yakiwa ni hafifu kabisa.

Baada ya kupoteza mchezo huo, timu hiyo itarejea kwenye ligi kumenyana dhidi ya Smouha, kabla ya kukiwasha dhidi ya Al Merreikh 17 Februari.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.