Alexander atarejea tena msimu huu katika mashindano ya Formula 1 akiwa na Williams.
Anglo-Thai baada ya kupoteza nafasi yake Red Bull na kuwa dereva wa akiba sasa arejea.
Williams pia wamemtangaza Latifi kuwa ataendelea kubaki kwenye timu kwa msimu wa tatu mfululizo .
“Alex ni kijana mwenye kipaji kikubwa kwenye huu mchezo” kiongozi msimazi kutoka Williams alisema,”pia anakuja akiwa na uzoefu mkubwa kwa kipindi alichokuwepo Red Bull”
Jost Capito

Albon mwenye umri wa miaka 25 alianza safari yake akiwa na Red Bull timu ya pili Toro Rosso mwaka 2019, kabla ya kupandishwa kwenye timu kubwa ya red bull katika kati ya msimu huku akibadilishana na Pierre Gasly.
Alexander anakwenda Williams kuchukua nafasi ya rafiki yake wa karibu amabae anakwenda Mercedes.
Msemaji wa timu ya Red Bull, “alisema tumemwachia Alex kuwa dereva wa Williams kwa mwaka 2022 na bado tuna mahusiano mazuri naye.
Capito aliongezea: “ilikuwa ni uamuzi mgumu sana kwani kulikuwa na madereva wazuri wengi sana.
Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.



Sania+mapua
Sawa