US Open: Djokovic vs Zverev Nusu Fainali

Mambo yanapamba moto kunako mashindano ya US Open 2021. Novak Djokovic, uso kwa uso na Alexander Zverev ijumaa hii.

Djokovic ananafasi ya kulipa kisasi kwa Zverev baada ya wawili hapa kuchuana kwenye nusu fainali kunako mashindano ya Olympics 2020. Zverev aliibuka kidedea kwenye mchezo ule na baadae aliibuka mshindi wa medali ya dhahabu kwenye mashindano yale.

Alexander Zverev

Safari hii, wawili hawa wanakutana kwenye nusu fainali ya US Open, huu ni muendelezo wa safari ya Djokovic ambaye analisaka taji la 4 la Grand Slam ndani ya mwaka mmoja, atafanikiwa kumbwaga Zverev?

Ushindi wa Djokovic kwa seti 5-7 6-2 6-2 6-3 dhidi ya Matteo Berrettini, na ule wa Zverev wa seti 7-6 (8-6) 6-3 6-4  dhidi ya Llyod – unawapatia nafasi nyota hawa wa mchezo wa tenesi nafasi ya kuchuana tena kwenye hatua ya nusu fainali. Hapatoshi!


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.