Mtoto wa Cristiano Ronaldo amemwaga wino kwenye mkataba mpya na Manchester United, akifuata nyayo za baba yake kwa kuwawakilisha miamba hao wa Premier League.

Man United Wamsajili Mtoto wa Ronaldo

Hatua hiyo imefikiwa mara baada ya kinda huyo wa miaka 11 akionekana akifanya mazoezi na baba yake wakati wa mapumziko ya msimu wa baraidi wa Premier League.

Ronaldo Jr  alipigwa picha akiwa ameshika jezi yenye namba saba  baada ya kukubali kuongeza muda wa kukaa na timu ya vijana ya klabu ya United, kinda huyo alikuwa na mtoto mwingine anayejulikana kama Gabriel kipaji kingine ambacho kinatabiriwa makubwa katika ulimwengu wa soka.

“Muda pekee ndio utakaoongea,” alisema kigogo wa soka katika mfululizo mpya wa Netflix ya Georgina mke wake, inajulikana kama I Am Georgina. “Sitawahi kumshinikiza atafanya anachotaka.

Ronaldo aliwahi kusema mwaka 2020: “Tutaona kama mtoto wangu anaweza kuwa mchezaji mkubwa, anakipaji anakasi na kukokota mipira vizuri lakini hiyo haitoshi”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa