man utd

Huenda miongoni mwa watu wenye furaha sana kwa sasa ni mashabiki wa Chelsea na Man Utd, makocha wa hizi timu mbili Mauricio Pochettinho na Erik Ten Hag wikiendi hii wamekuwa na siku nzuri kazini.

Man Utd ya Ten Hag iliandika historia kwenye maisha ya klabu hiyo ya kufanya kupindua meza ndani ya dakika za 90s ambapo, Bao la kwanza la kuchomoa lilifungwa dakika 93 na Scott McTominay na bao la ushindi lilifungwa dakika ya 97. Mchezo huu ulikuwa na odds kubwa Meridianbet, unaweza kubashiri michezo mingi ijayo ukibonyeza hapa.

Maguire

Watu wengi hawakuelewa mabadiliko ya kimbinu na uchezaji ambayo, Mwalimu wa Man Utd Ten Hag aliyafanya ya kumtoa Amrabat na kumuigiza McTominay mpaka pale upinduzi wa meza ulipofanyika.


Kitu kingine cha zaidi kwenye mchezo huo wa jana kati ya Man Utd vs Brentford ni mchango mkubwa wa mlinzi wa kati Harry Maguire, aliyehusika kutoa asisti ya bao la pili kwa mpira wa faulo aliougusa kwa kichwa na kufungwa kwa kichwa na McTominay hii nayo ni rekodi nyingine. Weka rekodi ya maisha ukibashiri Meridianbet kwa odds kubwa au ukicheza sloti na kasino mtandaoni.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa