Roma Bila Pellegrini kwa Mwezi Mmoja

Roma wanatarajiwa kumkosa nahodha Lorenzo Pellegrini kwa takriban mwezi mmoja baada ya kuchechemea akiwa na tatizo lingine la misuli.

 

Roma Bila Pellegrini kwa Mwezi Mmoja

Kiungo huyo alikuwa mchezaji wa akiba wa kipindi cha pili katika mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Servette Alhamisi jioni.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Ndani ya dakika 11 tu uwanjani, alifunga bao, akatoa pasi ya bao na kisha kupata jeraha kwenye paja lake la kulia.

Roma Bila Pellegrini kwa Mwezi Mmoja

Kwa mujibu wa Sky Sport Italia, majaribio hayo yameonyesha kupasuka kwa mguu wa kulia na anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takriban mwezi mmoja. Hiyo inamaanisha atakosa michezo mikubwa ikijumuisha pambano na Inter mnamo Oktoba 28.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Sasa ni mbio za mchezaji huyo kuwa fiti kuelekea Derby della Capitale dhidi ya Lazio mnamo Novemba 12.

Roma Bila Pellegrini kwa Mwezi Mmoja

Kwa kawaida pia amelazimika kujiondoa kwenye kikosi cha Italia kitakachomenyana na Malta na Uingereza katika mechi za kufuzu EURO 2024 wiki ijayo.

Acha ujumbe