Mikakati Mizito Yawekwa Simba vs Power Dynamos

simba

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema wameutumia mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union uliopigwa Alhamisi iliyopita kama sehemu ya kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Mchezo ujao unaweza kupiga pesa kama ukijipanga vizuri kubashiri, Meridianbet wanatoa odds kubwa, machaguo zaidi 1000+

Robertinho ameweka wazi kuwa katika mchezo uliopita dhidi ya Coastal Union aliwatumia wachezaji wenye uzoefu, ili kuzidi kutengeneza maelewano baina yao kuelekea mechi dhidi ya Power Dynamos itakayopigwa Jumapili.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Simba Jumapili watashuka uwanjani na Dynamos katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kusaka tiketi ya hatua ya makundi ya mashindano hayo, ikumbukwe mchezo wa kwanza ambao Simba walicheza ugenini nchini Zambia, Simba walipata matokeo ya sare mabao 2-2.

Robertinho alisema: “Tumeutumia mchezo dhidi ya Coastal Union kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos. Tulijua Coastal watatupa mechi ngumu ambayo itazidi kutuimarisha.

“Ukiangalia kikosi kwenye mchezo ule kwa kiasi kikubwa tumewatumia wachezaji wenye uzoefu ambao tunategemea kuwatumia dhidi ya Power Dynamos.”

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.