Pambano la Mwakinyo na Twaha Kiduku Kujulikana Hivi Karibuni.

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ubingwa wa WBO Afrika kwa kumchapa Mghana, Elvis Ahorga kwa KO ya raundi ya sana katika pambano la raundi kumi kwenye uzani wa super middle ambalo limepigwa New Amaan Complex, Zanzibar. Meridianbet una nafasi ya kubeti michezo ya masumbwi ikiwa na odds kubwa.

Kiduku Twaha

Mwakinyo ameshinda pambano hilo huku akiweka rekodi za kushinda mkanda wa ubingwa huo kwa mara ya kwanza ambao umekuwa ni ndoto yake ya muda mrefu. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Mwakinyo alisema kuwa ushindi wake ni salamu tosha kwa bondia wa Morogoro ‘Twaha Kiduku’ kwa amekuwa akipiga kelele muda mrefu za kutaka kupigana naye, hivyo amewataka mapromota kuweka mkwanja wa kutosha ili waweze kumaliza ubishi wao. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Kwanza namshukuru Mungu kwa kuweza kushinda ubingwa huu lakini niwashukuru mashabiki wangu kwa kuweza kuonyesha imani kubwa juu ya licha ya kukosa nafasi kwa kipindi kirefu lakini wameweza kunivumilia wakati wote huo hadi leo hii naweza kuonyesha kile ambacho naamini nimejaliwa kuwa nacho.

mwakinyo

“Lakini ushindi huu nataka uwe salamu tosha kwa yule bondia wao wa Morogoro ambaye wanaosema namuogopa, nipo tayari kupanda naye ulingoni wakati wowote, kitu cha msingi ni kwa promota kuzingatia suala fedha tu na siyo jambo lengine nataka nikatoe fundisho ili wengine waache kufikiria kwa urahisi,” alisema Mwakinyo.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi kabisa za kukufanya uwe tajiri.

Acha ujumbe