Ahmed Ally: Simba Tulieni, Yule Lazima Atawavuruga Tu

OFISA Habari wa Klabu ya Simba Ahmed Ally amesema kuwa Kila Mchezaji ambaye ameongezeka kwenye kikosi hicho kwenye wakati huu amekuja kufanya kazi na watu wawe na matumaini na sajili zote ambazo wamefanya. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Ahmed Ally amesema, mshambuliaji wao Freddy Kouablan sio mtu mzuri kwa wapinzani na kutoa tahadhari mapema kwa mabeki na makipa kujiandaa na kazi mbele ya nyota huyo aliyesajiliwa kutoka Zambia. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

“Bosi Wetu alishasema kuhusu usajili wetu ambao umefanyika, Mimi hapa nasisitiza tena kuwa kile Chuma kitachocheza pale mbele, siyo Cha mchezo.

“Yule Lazima atawavuruga watu, makipa na mabeki wajiandae kweli kweli. Yule mtu anajua Boli na anajua kufunga,” alisema Ahmed Ally.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe