Neymar atokwa na machozi baada ya kupata majeraha, mpira ni mchezo wa kikatiri sana, haswa pale unapoona timu yako inaandamwa na mtatizo mengi ndani ya uwanja na nje ya uwanja, unaweza kusema hivyo kutokana na changamoto wanayopitia kwa sasa PSG. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

neymar

Mshambuliaji wao mwingine tena tegemezi Neymar alitolewa nje kwa machela baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati Paris Saint-Germain ilipomenyana na Lille. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.


Miamba hao wa Ligue one waliongoza 2-1 alipogongana na Benjamin Andre katika kujaribu kushinda mpira kabla ya kukunja kifundo cha mguu wake kufuatia anguko baya uwanjani. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Neymar alitolewa nje huku akitokwa na machozi na sasa anaweza kuwa shakani kwa mechi ya mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Bayern Munich. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Majeraha ya Neymar yanakuja siku chache tu ikiwa wamemkosa nyota wao Kylian Mbappe kwa majeruhi ambae kwa sasa ni kama amepona na kuwa na kikosi chake.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa