Simba Inaongoza Bao 1 dhidi ya Singida

simba

Kipindi cha kwanza kimemalizika huku Simba wakiwa mbele kwa bao 0-1 huku kila timu ikishambulia kwa kupokezana.

Bao la Simba limefungwa na Saidoo Ntibazonkiza dakika (24) kwa shuti kali, lililomshinda mlinda mlano Beno Kakolanya baada ya kuondosha michomo kadhaa iliyopigwa langoni mwake ukiwemo wa Kennedy, Juma, Kibu Denis.

Unaweza kubashiri mchezo huu mubashara Meridianbet pekee, huku ukiwa na nafasi ya kuturbo/ Cashout ikiwa unaona tiketi yako inakaelekea kuchanika.

Acha ujumbe