Simba SC Wanafunga na Kufungwa.

KATIKA mechi tatu ambazo ni dakika 270 Simba SC imeruhusu jumla ya mabao manne ikikwama kuondoka na clean sheet katika mechi hizo. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

SIMBA SC

Ngoma ni nzito kwenye upande wa ulinzi huku benchi la ufundi likibainisha kuwa litafanyia kazi hayo yote kwenye uwanja wa mazoezi.

Seleman Matola, kocha msaidizi wa Simba SC amesema wanatambua kuwa kuna makosa yanatokea jambo wataalofanyia kazi uwanja wa mazoezi. Jisajili na Meridianbet upate bonasi kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

Safu ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao sita katika mechi hizo ilikuwa Simba 1-2 Tanzania Prisons, Coastal Union 1-2 Simba na kete ya kukamilisha dakika 270 ilikuwa Simba 3-1 Singida Fountain Gate.

Katika mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate walianza Simba SC kufunga dakika ya 6 na 9 kupitia kwa Saido Ntibanzokiza n Fredy Michael alipachika bao dakika ya 34.

Bao pekee la Singida Fountain Gate lilifungwa dakika ya 84 na Thomas Ulimwengu ikiwa ni bao lake la kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24.

Nafasi ya tatu Simba SC na pointi 42 baada ya kucheza mechi 18 huku safu ya ulinzi ikiwa imeruhusu mabao 18, Singida Fountain Gate nafasi ya 12 pointj 21.

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe