Promosheni ya Expanse Kasino
Kama kawaida wakali wa kasino BOMBA za mtandaoni kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuletea mpaka kiganjani mwako Promosheni ya Expanse kasino itakayoanza kutimua vumbi Disemba Tarehe 19, 2022 mpaka Disemba 25. 2022, uwanja wa Promosheni hii ni tovuti ya www.meridianbet.co.tz pamoja APP ya simu.
Hii sio ya kukosa kabisa kwani Meridianbet inakupa nafasi ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania mgao wa TZS 800,000/= kwenye Promosheni ya Expanse kasino, njia ni rahisi ya kushiriki cha kufanya fuata vigezo vifuatavyo.
Namna ya Kushiriki Promosheni ya Expanse Kasino
- Ili kushiriki Promosheni ya Expanse kasino hakikisha umesajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz
- Wakati wa promosheni hii, wachezaji (washiriki) watashindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya mtoa huduma ya Expanse.
- Michezo inayoshiriki kwenye Promosheni ni: Book of Egypt, Bounty Hunter, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates power, Spinning Buddha, Book of Eskimo, na Wild Icy Fruits.
- NB: Nafasi ya mchezaji itaonekana masaa 24 baada ya Promosheni kukamilika.
- Ni muhimu kuzungusha mara 30 bonasi yako ya kasino uliyopewa kwenye michezo ya mtoa huduma wa Expanse.
- Ushindi wa juu kutolewa ni TZS 5OO,000/=
- Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha Promosheni wakati wowote wa mashindano.
Mchanganuo wa Zawadi kwa Washindi
Zawadi kwa washindi watakaopatikana mwishoni mwa Promosheni ya Expanse kasino, zitatolewa kulingana na nafasi zao kwa mshindi wa kwanza hadi wa tano.
- Nafasi ya tano atapata 100,000/= TZS
- Nafasi ya nne- 100,000/= TZS
- Nafasi ya tatu- 150,000/= TZS
- Nafasi ya pili- 200,000/= TZS
- Nafasi ya kwanza- 250,000/= TZS