Mashindano ya Mbio za Farasi ya Southwell yamehairishwa mpaka baada ya kutangazwa tena hapo baadae baada ya Farasi wawili kufariki.
Bodi ya Mbio za Farasi za Uingereza wanashirikiana na mmiliki uwanja wa Arena Racing Company kufuatia matukio ya vifo vya Farasi sita kati ya tarehe 1 July na August 24.

Baada ya vifo vya Cillian’s Well na Day of Roses, BHA na ARC walitoa taarifa iliyosomeka: “Mamlaka ya Mbio za Farasi Uingereza na Arena Racing Company wameungana kutoa maamuzi ya kuhairisha tamasha la Southwell mpaka hapo itakapo tangazwa tena.
“Ili kupisha uchunguzi wa kina kuchukua nafasi yake kufuatia vifo vya viwili vilivyotokea katika michezo ya jioni.
“Tayari utaratibu ulikwishaanza kuchunguza matukio kama hayo yaliyohusisha vifo sita vya Farasi kutoka July 1 na August 24.
“Ratiba za michezo hiyo itapangwa tena katika viwanja vingine na taarifa zitatolewa hapo baadae.”

Kumekuwa na Vifo 173 kati ya Farasi 91,937 walioshiriki katika mwaka 2019 kulingana na takwimu za Mamlaka ya Michezo ya Farasi Uingereza – BHA, amabayo iliweka asilimia 0.19 ya vifo kwa Farasi waliokimbia.
Unaweza kubashiri na Mabingwa meridianbet Michezo kama hii ya mbio za Farasi.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Mwanahamisi
Gud news
magdalena
duh sa itakuwaje maana tulikuwa tunasubiria kwa hamu kubwa sana
Shafii
Hii inaweza ikawa kuna ugonjwa umeingia wa farasi ngoja tusubili hadi pale uchunguzi utakapo kamilika.
Sauda
Kwanini vifo vya farasi vimekithiri?
Latifa juma mohamed
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa Nn tena kwasaba tulikuwa tuna subili kwaamu tuhone buludani jamani
rama
daaaa zitalejea lini tena
JULIANA
Asante kwataharifa
felister
nini kimewakuta farasi jamani
Caroline
Duh sad newz
Issa
Pigo kubwa kwenye mchezo huo
Fatina mfigi
Daah majanga
Sadick
mchezo huu huvutia wabashiri wengi hasa Ulaya, naamini uchunguzi hautabaini kama kuna hujuma#meridianbettz
David Pere
mchezo huu huvutia wabashiri wengi hasa Ulaya, naamini uchunguzi hautabaini kama kuna hujuma
Elika
Majanga mengine hayo
Tatu
Huo ni uzembe wao farasi awakagui wanawapeleka kwenye mashindano sijui kama huduma nyingine walikuwa wanapata
Ernest
What a shocking a news!!!
Adelta
Mhmh sio poa
@meridianbettz
Mwajumah
Duuh ni habari ya kuuzunisha sana kwa wapenzi wa mchezo wa wafarasi
Rose kapinga
R.i.p farasi hakika mlikua mnatoa burudani ya kutosha!!!
Dorophina
Bad news dhaa Mambo yanazidi kuwa mabaya kwa upande wa burudani
Hope mwaikuka
So sad
Khadija
Tushakosa tena burudan za mbio za farasi#meridianbettz
Frank
dah wenzetu wako district sana wanapoanzisha vitu vyao
Nasra
Mambo yanazidi kuwa mabaya
Saupha mohamed
Daah mambo yakua meusi kwa wapenzi wa mchozo wa farasi
Shani
Pigo kwa mashindano haya
Edgar
Makala nzur
farida ahmadi
Du hii nouma Sana
Neema
Duuu hataree sana
Sabrina
Duuuh hatari hizo hujuma hizo farafi wamekufa!
Samiah
Hiii noma sanaaa
Agness
Asantee kwa taarifa
Rehema
Good news
Janeflora malisa
Hatar
Povel
Nice update
Flomena
Good news
Amiri Kayera
Apo kuna mchez unafanyika inabid uchunguz ufanyike
Isaya massawe
Mambo ya corona hayo
Gabriel
Tulikuwa tunasubiria kwa hamu kubwa sana
warda
Ndo basi Tena Hii Corona Jamani
Genia Sikaluzwe
Duuuuh hatari