US Open 2020: Serena Williams Hafungiki!

Bingwa mara 6 – Serena Williams anaendelea kuwaliza wapinzani wake katika Mashindano ya US Open 2020.

Margarita Gasparyan alihakikisha Serena Williams anakuwa na wakati mgumu japokuwa alishinda kwa seti 6-2 6-4.

Serena Amefuzu mzunguko wa 3 kwenye US Open 2020.

Mchezo kati ya Serena na Gasparyan ulikuwa wa vuta ni kuvute. Gasparyan alitangulia kuongoza katika raundi ya kwanza kabla ya Serena kusawazisha matokeo katika raundi ya pili.

Raundi ya 3 kidogo imuondoe Serena lakini alipambana kwa nguvu kubwa na Gasparyan kujikuta akiangukia pua mikononi mwa Williams ndani ya dakika 35 tu.

Kwa matokeo haya, Serena Williams atakutana na Sloane Stephen ambaye alikuwa bingwa wa Mashindano haya mwaka 2017.

“Ni mchezaji mzuri, anacheza kwa utaratibu. Anaonekana kama hatumii nguvu lakini ameshinda mara 5, sio rahisi.” Williams akimzungumzia Stephen.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

30 Komentara

    serena ni noma akiamua mpinzani hakun

    Jibu

    Mdada Serena kajipanga vyema Sana hongera kwake.

    Jibu

    Hana mpinzani huyu Dada

    Jibu

    Hana mpinzani

    Jibu

    Namkubali Sana Serena ni mdada mpambanaji mdada anayeijua Nini anafanya kwenye kazi take yupo vizuri Sana mpambanaji huyo

    Jibu

    Hongera kwake hana mpinzani

    Jibu

    Serena sio mtu wa kawaida.

    Jibu

    Professional tennis player Serena

    Jibu

    Serena han mpinzan

    Jibu

    Serena level nyingine

    Jibu

    Serena hana mpizani

    Jibu

    Serena Hana mpinzani kwa hilo nampa pongezi

    Jibu

    uyu dada hatari na nusu uyu

    Jibu

    Serena Williams amerudi vizuri sana

    Jibu

    Serena ndio kiboko yao anajua kuwatingisha wenzie kwenye tenes#Meridianbettz

    Jibu

    Serena yupo vizuri sana hakuna wa kumshusha

    Jibu

    Serena hana wa kulinganisha nae

    Jibu

    Serena bado hajapata mpinzani
    @meridianbettz

    Jibu

    Serena William mkali Sana

    Jibu

    Mwanadada mwenye kipaji chake!!

    Jibu

    Serena Yuko vzur sana

    Jibu

    Nouma sans Serena yuko vizuri

    Jibu

    Serena yupo sawa

    Jibu

    Yaan huyu mdada namkubali

    Jibu

    Hngr kwak

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri, anacheza kwa utaratibu. Anaonekana kama hatumii nguvu lakini ameshinda mara 5, sio rahisi

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri, anacheza kwa utaratibu. Anaonekana kama hatumii nguvu lakini ameshinda mara 5, sio rahisi

    Jibu

    Serena noma

    Jibu

    Serena Ni Habari nyingine

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.