Kwa mujibu wa Andy Murray, kushinda tena kwa mara nyingine taji la Gland Slam ni kibarua kizito, anaamini haitakuwa kazi rahisi.
Bingwa huyu, aliyekuwa akishindilia namba moja duniani alisema maneno hayo ya kukata tamaa baada ya kutolewa kwenye Michuano ya US Open Alhamisi.
Murray alikubali kichapo kwenye seti zote za raundi ya pili dhidi ya Felix Auger-Aliassime. Staa huyu alikuwa anacheza michuano yake ya kwanza ya kuwania Grand Slam tangia alipofanyiwa upasuaji wa paja Januari 2019 ili kuokoa karia yake kwenye michezo.

Murray anaamini kuwa makali yake yamepungua kutokana na yale yaliyomkuta. Hivyo hatakuwa na uwezo ule ule katika kupambana kwenye michuano ya kuwania Gland Slam.
Andy Murray
“Nilikuwa mgumu sana wakati nina mapaja ya kawaida. Hivyo, itakuwa vigumu sana kwa sasa, lakini nitaendelea kujaribu, kwa nini nisijaribu? kwa nini nisijaribu kwa bidii zaidi ili niweze? Na kama sitaweza, yote heri!”
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
andy anabidi ajitahidi sana maana anakutana na kibonde wake
Mwanahamisi
Andy inabidi aongeze juhudi
JULIANA
Asante kwataharifa
Ernest
Ni vizuri kuona kuna Damu changa zinaleta changamoto kwenye michuano ya Tennis
Mwajumah
Andy anatakiwa aongeze juhud tu asikate tamaa#Meridianbettz
Khadija
Tenis michezo naikubali
Genia Sikaluzwe
Ahsant meridian kwa taarifa
Elika
Akitulia atakuwa sawa tu na atarudi katika mstari wake kama zamani
felister
dah usikate tamaa mapema ivyo
Caroline
Asanteni kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Murrey anabidi haongeze juhudi yakupambana
Adelta
Anahitaji kufanya juhudi
@meridianbettz
Juliet
Shukrani meridiani kwa kutujuza
Furahav
Mmh pole.
Rose kapinga
Aongeze juhudi ataweza tuu
Hope mwaikuka
Andy pambana
Devotha
Asante kwa taarifa
Asia Abdy
Akazane
Samiah
Asantee kwa taarifa
Rehema
Duuuh pole
Flomena
Andy inabidi afanye mazoezi ya kutosha
David Pere
Ni vizuri kuona kuna Damu changa zinaleta changamoto kwenye michuano ya Tennis
warda
Hatoweza Kushinda tena mana kesha kuwa na Hofu