Meridianbet: Ni habari njema tena kutoka nyumba ya Mabingwa, wakali wa promosheni Tanzania, wamekuja na jambo jipya kwa wateja wao, ni Shindano maalumu la kumtafuta Bingwa wa kupiga danadana kwenye maduka yote ya Meridianbet, ambalo Bingwa wa Jumla atasjishindia Zawadi ya Simu Janja mpyaa aina ya Samsung A32.

 

danadana

Shindano hilo limezinduliwa leo Novemba 15, 2022 kwenye maduka ya Max 4, Max 6 na Max 22 ambapo shughuli ya kuanza kumtafuta Bingwa wa duka husika ilifanyika kikamilifu.

Zoezi hizo lilizinduliwa na Meneja Masoko na Mawasilianonwa Kampuni ya Meridiabet Bw Matina Nkurlu, pamoja na timu nzima ya Masoko kutokq kampuni hiyo.

Shindano lilianza kwenye duka la Max 6, washiriki watano walishandana kupiga Danadana kila mmoja akijitahidi kadri ya uwezo wake, mchuano ulikuwa mkali sana lakini Bingwa wa Max 6 alikuwa Ramadhan Suleiman ambapo alijipatia Mpira mmoja mpyaa na Fulana.

Timu haikuishia hapo, ilienda mpaka duk la Max 4, nako washiriki walijitokeza wengi sana, mchujo ukafanyika wakabakinwashiriki watano, napo walishindana mpaka mshindi akapatikana aliyefahamika kwa jina la Silvester Mollo.

danadana

 

Hata hivyo, Shindano la bingwa wa danadana likafika Max 22, duka lenye wateja wengi sana wakali wa kukipiga walijitokeza kwa wingi sana, na mchuano ulikuwa wa moto sana, ni Crispa Kisoma na Tale Abdallah walikuwa na upinzani mkali sana lakini Tale ndiye alifanikiwa kuwa Bingwa.

Shindano hilo linaendelea kwenye maduka mengine, na Siku ya Jumamosi Novemba 25, 2022 itakuwa ni fainali ya mwisho itakayo wakutanisha mabingwa wote wa maduka 17 ya Meridianbet na hapo atatafutwa Bingwa mmoja atakayejishindia Simu aina ya Samsung A32

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa