Baada ya Kutambulishwa kwa Kocha wa Makipa Zakaria Chlouha Mmorocco ambaye atawanoa makipa wa klabu ya Simba SC, Aish Manula, Beno Kakolanya, Ally Salim, na Ahmed Telu , ambao awali walikuwa wakinolewa na mzawa Muharami Mohamed Sultan ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya.

 

ahmed simba

 

Msemaji wa Klabu hiyo Ahmed Ally ameibuka na kumwagia sifa nyingi Kocha huyo ambaye wasifu na uzoefu wake unaonesha ni kocha mzuri, Ahmed alisema ni kocha hatari na uwezo mkubwa. Odds kubwa za meridianbet.

“Ni kocha bora anayeweza kufundishwa kwa ubora wa CAF, anayeenda kuwaongezea uwezo makipa wetu, mfano Aish Manula ana ndoto za kuwa kocha wa Afrika anayeshindana na Onyango wa Mamelod” Tazama odds bomba na kubwa hapa

 

ahmed simba

“N i kocha amabaye ana uwezo wa kuendelea kipaji cha mtu, kulinda na kukiongeza kiwango cha mlinda mlango, huyu ni kocha atakayewaongezea uwezo mkubwa makipa wetu”

Kocha Huyo ametoka kwenye klabu ya Dibba Al Fujaira ya Uarabuni, msimu wa 2019/21- Hassania Agadir ya Ligi ya Morocco, pia amewahi kuifundisha Wydad Casablanca na FC Romain Ville ya Ligi ya Ufaransa. Beti na meridianbet wana odds bomba

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa