Lens Wakataa Ombi La PSG, Presha Yaongezeka Katika Mbio za Ubingwa

Klabu ya RC Lens imekataa ombi la Paris Saint-Germain la kuahirisha mchezo wao wa ligi, uamuzi unaoongeza presha kwa PSG katika kipindi hiki chenye ratiba ngumu. PSG walikuwa wameomba mechi hiyo isogezwe mbele kutokana na kubanwa na michezo miwili muhimu dhidi ya Liverpool FC kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Lens Wakataa Ombi La PSG, Presha Yaongezeka Katika Mbio za UbingwaTaarifa zinaeleza kuwa Lens hawakuwa tayari kurahisisha hali kwa wapinzani wao, wakizingatia ushindani mkali uliopo kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati ya timu hizo ni ndogo sana, hali inayofanya kila mchezo kuwa na uzito mkubwa katika mbio za ubingwa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Hatua hiyo inaifanya mechi hiyo kuwa muhimu zaidi kwa pande zote mbili, huku PSG wakilazimika kupanga kikosi chao kwa umakini mkubwa ili kuhimili ushindani wa ndani na wa kimataifa kwa wakati mmoja.

Lens Wakataa Ombi La PSG, Presha Yaongezeka Katika Mbio za UbingwaPSG kabla ya kukutana na Lens tarehe 11 April atakuwa na mchezo dhidi ya Toulouse kwenye ligi 1 tarehe Aril 3 na mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool siku ya tarehe 8 April.

Lens Wakataa Ombi La PSG, Presha Yaongezeka Katika Mbio za UbingwaKwa upande wao, Lens wanaonekana kutumia fursa hiyo kuongeza presha kwa PSG, wakiamini kuwa ratiba hiyo ngumu inaweza kuwaathiri wapinzani wao katika mbio za ubingwa wa ligi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.