Mpango wa Liverpool kumnasa Saul Niguez wa Pamba Moto

Mchakato wa Liverpool kumnasa Saul Niguez unatajwa kuwa upo kwenye hatua nzuri baada ya Atletico Madrid kumleta Rodrigo De Paul kama mbadala wa kiungo huyo.

Liverpool wanasemekana kuongoza vilabu vingi vinavyoiwinda saini ya mchezaji huyo wa miaka 26, ambaye alipambana kuanza mara kwa mara chini ya Diego Simeone kwenye kampeni ya 2020-21.

Samuel Niguez to Liverpool
Samuel Niguez



Saul bado ana miaka mingine mitano ya kuendelea kuweko klabuni hapo kwa mujibu wa kandarasi iliyosainiwa 2017, lakini mchezaji huyo wa Atletico anaaminika kuwa mbioni kuondoka msimu huu wa joto.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.