Miguel Gamondi Atuma Salamu kwa Geita Gold

KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa, kama watacheza kama ambavyo wamepanga na Geita Gold wakifanya makosa, mabao matano yanaweza kutokea tena. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

 

Gamondi

Yanga watawakaribisha Geita Gold FC kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi kesho Alhamisi ikiwa ni Mchezo wa Ligi Kuu Bara. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

“Tumejiandaa vizuri kucheza na Geita Gold, tunafahamu kila mpinzani kuna namna yake ya kujiandaa kimbinu.

“Ukitazama matokeo yao ya hivi karibuni wameimarika hivyo lazima tuchukue tahadhari ya kutosha bila kujali matokeo yetu ya awali.

“Nina wachezaji wengi wazuri sana, tunaweza kucheza aina yoyote ya mchezo, iwe kushambulia, kumiliki mpira nk.

“Tunaweza kubadilika badilika kulingana na matakwa ya mchezo kabla na wakati wa mchezo, sijawahi kucheza na aina moja ya falsafa huwa nabadilika kulingana na namna mpinzani anavyocheza na namna navyoweza kummudu.

“Wengi hapa wanawaza kuhusu mabao matanl, yanaweza kupatikana kama tukichanga karata zetu vizuri zaidi,” alisema Gamond.

Jisajili na Meridianbet upate bonasi kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

Acha ujumbe