Morrison Agoma Kwenda Shinyanga

Kocha wa Young Africans (Yanga SC), Luc Eymael amekiri kukasirishwa baada ya mshambuliaji wake kugoma kusafiri nae kwenda Shinyanga kucheza mchezo wao dhidi ya ya Mwadui Jumamosi kurejea kwa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kocha huyo Mbeligiji ameshindwa kuungana na wachezaji wenzake kikosini kuelekea mechi dhidi ya Mwadui lakini alipaswa kusafiri na wachezaji wenzake.

Eymael, alisafiri na straika Mcongo David Molinga, ambaye aliachwa wakati kikosi kikienda Shinyanga, Jumatano kwasababu zake binafsi.

Eymael alipozungumza na waandishi alisema hafahamu nini kimetokea kwa Morrison kwasababu nilitakiwa kusafiri nae mimi lakini alizima simu.

“Ni kweli [Morrison] alihaidi kuja na mimi kwenye safiri ya Shinyanga lakini hakutokea na alienda mbali zaidi kwa kuzima simu yake,” alisema Eymael.

44 Komentara

    Duuh kwanini agome sasa

    Jibu

    Ape we adhabu inayo stahili

    Jibu

    Kwani mkataba wake si unaruhusu kwenda popote? Kama vp apewe adhabu tu

    Jibu

    Ata asipo enda yanga ushindi ni lazima point 3 tutapata tu ata usipo enda babu eeh

    Jibu

    Duu…habari mbaya kwa mashabiki wa yanga…Morrison ni mchezaji muhimu sana pale yanga kugoma kwake kutachangia leo kupoteza mchezo

    Jibu

    Huyo sio mchezaji,

    Jibu

    Morrison anatengeza mazingira ya kuondoka. Hivi dirisha la usajiri linafunguliwa lini?#meridianbettz

    Jibu

    Kashajua kinachokwenda kutokea hukoooo..bora kagomaaa

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    msihukumu coz hamjui amepatwa na tatizo gani mpaka akashindwa kusafiri shinyanga kuungana na wenzake

    Jibu

    Duuh..lazima sheria ifuate mkondo wake..

    Jibu

    Hii tabia ya wachezaji kukataa kwenda katika mchezo inatokea Mara nyingi sana kwani Hamna sheria au anajiona yeye ndio bora alimwe faini ili wengine wajifunze kupitia yeye

    Jibu

    Duu kweli ngoma ishakuwa ngumu kwayanga mpaka Morrison kugoma Aya ngoja tuchek itavyo kuwa kwao yanga

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Mmh hiyo hatari lazima Sheria ichukuwe Mkondo wake

    Jibu

    Duuuh!! Hatari

    Jibu

    Dhuu kwann aligoma inabidi apewe adhabu

    Jibu

    Ujue mpira wa African n wamaneno hivyo bac kutokana na scandal ambayo ilitokea nyuma pind walipochezwa na KMC imemfanya kutokuwa comfortable na kuendelea inapaswa viongoz wadhibit na kuongea na Morrison vzur asije akawakatisha tamaa wengne

    Jibu

    Kama Goma basi hatulie haliwezi Jua labda kunajambo ambalo cyo#meridianbet

    Jibu

    Kuna sababu kwa nini agome kwenda

    Jibu

    Lazima kutakuwa na sababu hawezi akagoma kwenda

    Jibu

    Kwann sasa

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Duh majanga kwl

    Jibu

    Utopolo si mnazaminiwa na laliga lipeni wachezaji pesa Simba bingwa akuna ujanja# meridianbettz

    Jibu

    Hawezi kugoma tu hivihivi kutakuwa na sababu za msingi

    Jibu

    Labda kachoka

    Jibu

    Wabongo washampiga misumari huyuuuuu

    Jibu

    Morrison hanatafuta kiki tu..!vigezo na mashart vizingatiwe hapewe azabu ikiwezekena

    Jibu

    Morrison apendi kudharauliwa.

    Jibu

    Ikumbukwe hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya team …Non pro Morrisson

    Jibu

    Duu safari Kama inawadia hivi ya Morrison naona hakuna mawasiliano mazuri na kocha wa sasa

    Jibu

    Kagoma bila sababu au kunavitu havipo sawa

    Jibu

    Wamsikilize atakuwa ana sababu muhimu

    Jibu

    Mtu hawez goma pasipo sababu , I think there another reason.

    Jibu

    Jaman mpaka anagoma bas anasababu zake mwacheni bwana Morrison wetu

    Jibu

    Aache zake aende tuu

    Jibu

    Anaturingia kama vip asepe tuu

    Jibu

    Si rahisi kwa mchezaji ambaye analipwa stahiki zake zote agome kusafiri bila sababu kutakua na tatizo tu ndani ya menejiment ya yanga

    Jibu

    tatzo ilo au hamjampa mshahara wake

    Jibu

    Apewe adhabu kwa kwenda tofauti na Sheria zao

    Jibu

    Kajamaa kana sifa sana haka#Meridianbettz

    Jibu

    Kwanini anagoma

    Jibu

    Morrison nae anakosa ushirikiano mzuri na wenzake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.