Nathan Ake Nina Furaha Ndani ya Man City.

Beki wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uholanzi Nathan Ake amefunguka kua ana furaha ndani ya klabu hiyo mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza.nathan akeBeki huyo ambae alikaribia kujiunga na klabu yake ya zamani ya Chelsea katika dirisha la joto lililopita na kwasasa ameeleza kufurahishwa kubaki klabuni hapo.

Nathan Ake licha ya maneno mengi yanayoendelea kua beki huyo hawezi kupata nafasi kwenye kikosi kutokana na uwezo wake kua wa kawaida lakini beki huyo amesisitiza anahitaji kupambana klabuni hapo hata kwenye suala la kugombea nafasi yuko tayari kupambania nafasi yake klabuni hapo.

“Nina furaha nikiwa hapa City,Na nina furaha kubaki hapa kipindi hichi. Sihofii kuhusu suala la ushindani wa nafasi”Alisema Nathan Ake Alisema.Beki anatarajiwa kubaki klabuni hapo akiwa kwenye mipango ya klabu hiyo .nathan akeManchester City wana mipango na mchezaji huyo licha ya tetesi kusema mchezaji huyo alipanga kutimka Januari kwenye dirisha dogo baada ya usajili wake kuelekea Chelsea kushindikana majira ya joto.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.