KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Sead Ramovic ujanja wake upo kwenye mguu wake wa kushoto ambao umekuwa na mashuti yenye nguvu kitaifa na kimataifa.

Ki anaingia kwenye rekodi ya nyota aliyepiga mashuti mengi katika mechi za hatua ya makundi huku mchezo dhidi ya Al Hilal ukitajwa kuwa ni mchezo aliocheza katika ubora wa hali ya juu ugenini.
Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal Ki alipiga jumla ya mashuti matano ambayo yalilenga lango huku moja likiwa ni bao la mapema kabisa dakika ya 7 likiwapa pointi tatu Yanga ugenini.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Ikumbukwe kwamba Al Hilal mchezo wao kupoteza katika hatua ya makundi ilikuwa mbele ya Yanga iliyokuwa ugenini na mchezo wa pili ilipoteza dhidi ya TP Mazembe.


